BUSINESS AND LEADERSHIP SUMMIT
Tunawashukuru Wote Mliohudhuria
Event Yetu ya Kufungua Mwaka
Iliolenga Biashara na Uongozi
Tunawashauri Wadhamini zaidi Real ROLEMODELS 2023
Walioamua Kuchangia Mkutano huu Mkubwa
Uliofanyika Kwenye Ukumbi
Wa Mlimanicity
Tunawashukuru Watoa MADA Wote Hakika ilikuwa Masterclass ya Kipekee
Shukrani za Kipekee Ziende Kwa Malkia wa Nguvu
Mkuu Wetu wa Wilaya ya Temeke Mh. Mwanahamisi_munkunda Kwa Kuwa MGENI Rasmi
Kazi Inaendelea