Mh.SAMIA SULUHU HASSAN

Bodi ya The Purple Planet Menejimenti na Wanachama wote tunatoa pongezi kwa Mh.SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuapishwa kuwa rais wa awamu ya 6 wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Wanawake wa Tanzania tuna imani na utendaji wake, Tutaendelea kumpa ushirikiano
kwa Maendeleo endelevu ya Tanzania tunayoitaka