NENO kutoka kwa mlezi

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linatoa pongezi kwa washiriki wote wa mafunzo kwa Mwanamke Sahihi Legend program 2021. Tutaendelea kuwapa ushirikiano wakukuza
na kuendeleza shughuli zao kiuchumi pale
watakapo tuhitaji tunawakaribisha. HONGERENI SANA!